Leteipa the King
Leteipa the King - Ngarambe ft Pop Karly songtekst
Je score:
#VERSE Kameshona kama kiondoo, Kifuani niembe Ukitaka ujimenyee, Kama kametoka Bondo kanavyonyandua dompo, Hakajaalikwa kinywaji kajiekee , bado kanatepa bondoo kanadai wine na cider zinaboo form ni mangwai mawada na machrome na kamedecide, kuwahi Chali Masai juu size ya kijinai ni fine na Wana dooh she likes castles na hakadai hustle she is like mambo please nadai bundles please kabuy sandals, hills ziwahi kando mi sidai scandals maybe nikuwahi cuddle #HOOK kitega uchumi chake saidong'i (eeeh) Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh) hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeeh) #CHORUS (Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh (Ngarambe nyosto Ngarambe) (Ngarambe) kalishower mwaka Jana ni mafuta kamejipaka (Ngarambe nyosto Ngarambe) luku mpaka kaombe ndio Sasa katokee (Ngarambe) kamedunga claddy mpya na thango linakiraka (Ngarambe nyosto Ngarambe) sura wacha tuongee, pengine tukaombee (Ngarambe) #VERSE slay queen anadai mtu pesa bila doh anadai utamtesa ukiwa nazo pia anadai kuziwaste aah cheza mbali bro lenga hizo stress we ni tapeli umepatana na matheri zako vako we huwezi nitapeli zako vako we huwezi bonga kweli sura chura basi kama nakejeli after this Kuna wale watacatch mi sijali kama ngoma umekutouch nishasema so siwezi nikareverse get a life basi kama nakujudge (Ngarambe nyosto Ngarambe) #HOOK kitega uchumi chake saidong'i (eeeh) Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh) hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeeh) #CHORUS (Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh (Ngarambe nyosto Ngarambe) (Ngarambe) kalishower mwaka Jana ni mafuta kamejipaka (Ngarambe nyosto Ngarambe) luku mpaka kaombe ndio Sasa katokee (Ngarambe) kamedunga claddy mpya na thango linakiraka (Ngarambe nyosto Ngarambe) sura wacha tuongee, pengine tukaombee (Ngarambe) #OUTRO unafaa kuwa pedi, unavyopenda kumedi Princess pat na unaflash mpaka zedi Una deals shady unavyopenda mijeledi sikuchochi naona ukikufa na ukedi kufua hupendi, na bafu huendi unasubiria mkapige sheshe wikendi aaaaaah (Ngarambe nyosto Ngarambe)