Leteipa the King

Leteipa the King - Ngarambe ft Pop Karly lyrics

Your rating:

#VERSE
Kameshona kama kiondoo, 
Kifuani niembe Ukitaka ujimenyee, 
Kama kametoka Bondo
kanavyonyandua dompo,
 Hakajaalikwa kinywaji kajiekee , 
bado kanatepa bondoo
kanadai wine na cider zinaboo
form ni mangwai mawada na machrome
na kamedecide, kuwahi Chali Masai 
juu size ya kijinai ni fine na Wana dooh
she likes castles na hakadai hustle
she is like mambo please nadai bundles
please kabuy sandals, hills ziwahi kando
mi sidai scandals maybe nikuwahi cuddle

#HOOK
kitega uchumi chake saidong'i (eeeh)
Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh)
hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeeh)

#CHORUS
(Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
(Ngarambe) kalishower mwaka Jana
 ni mafuta kamejipaka
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
 luku mpaka kaombe ndio Sasa katokee
(Ngarambe) kamedunga claddy mpya 
na thango linakiraka
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
 sura wacha tuongee, pengine tukaombee
(Ngarambe)

#VERSE
slay queen anadai mtu pesa
bila doh anadai utamtesa
ukiwa nazo pia anadai kuziwaste aah
cheza mbali bro lenga hizo stress
we ni tapeli umepatana na matheri
zako vako we huwezi nitapeli
zako vako we huwezi bonga kweli
sura chura basi kama nakejeli
after this Kuna wale watacatch
mi sijali kama ngoma umekutouch
nishasema so siwezi nikareverse 
get a life basi kama nakujudge
(Ngarambe nyosto Ngarambe)


#HOOK
kitega uchumi chake saidong'i (eeeh)
Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh)
hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeeh)

#CHORUS
(Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
(Ngarambe) kalishower mwaka Jana
 ni mafuta kamejipaka
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
 luku mpaka kaombe ndio Sasa katokee
(Ngarambe) kamedunga claddy mpya 
na thango linakiraka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) 
sura wacha tuongee, pengine tukaombee
(Ngarambe)

#OUTRO
unafaa kuwa pedi, unavyopenda kumedi
Princess pat na unaflash mpaka zedi
Una deals shady unavyopenda mijeledi
sikuchochi naona ukikufa na ukedi
kufua hupendi, na bafu huendi
unasubiria mkapige sheshe wikendi
aaaaaah

(Ngarambe nyosto Ngarambe)
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: Teipa

Composer: Leteipa the King

Publisher: Leteipa the King

Details:

Released in: 2021

Language: Swahili

Appearing on: Teipas tales (2022) , Teipas Tales (2022)

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found