Leteipa the King
Leteipa the King - Happy birthday songtekst
Je score:
#VERSE Imagine tayari nilikuwa nishasahau Kwamba leo ni siku ya kusherehekea Nivenye nimewa busy nikihustle dooh Na picha yako sitaiweka kwa mitandao Na usidhani kwamba sikuwa nacare Nivenye safcom nina deni ya soo #HOOK ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee #CHORUS Happy birthday eeeeeeh.uoooooh x2 #VERSE Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja Ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuuu Uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier Na kutoana machozi kama tumela vitunguuu #HOOK ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee #CHORUS Happy birthday eeeeeeh.uoooooh Happy birthday, eeeeeh, uoooooooooh