Leteipa the King

Leteipa the King - Happy birthday lyrics

Your rating:

About this lyric:

Birthdays are always considered to be a celebrative moments of anyone's life thus associated with happiness. But what of those who can't afford to remember the day let alone buying expensive gifts. This is it.

#leteipatheking #vampk254music #leteipa #vampk254 #leteiping #teipa #teipathekk #teipathekingb#teipaslomon #teipastales #teipassingolio #teipassongs #teipaslyrics #leteiped #kuntakinte #lyriclyelevated

#VERSE
Imagine tayari nilikuwa nishasahau
Kwamba leo ni siku ya kusherehekea
Nivenye nimewa busy nikihustle dooh
Na picha yako sitaiweka kwa mitandao
Na usidhani kwamba sikuwa nacare
Nivenye safcom nina deni ya soo

#HOOK
 ningelikuwa na pesa
 ningekubuyia kagari 
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza 
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa, 
kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee

#CHORUS
Happy birthday
eeeeeeh.uoooooh x2

#VERSE
Nakuombea uishi zaidi 
ya miaka elfu moja
Ndo ujionee wajukuu wako 
pamoja ma vitukuuu
Uwaeleze tulivyosaidiana, 
kama masoldier
Na kutoana machozi
 kama tumela vitunguuu

#HOOK
 ningelikuwa na pesa 
ningekubuyia kagari 
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza 
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa, 
kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee

#CHORUS
Happy birthday
eeeeeeh.uoooooh
Happy birthday,
eeeeeh, uoooooooooh
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: Teipa

Composer: Leteipa the King

Publisher: Leteipa the King

Details:

Released in: 2017

Language: Swahili

Appearing on: Teipas tales (2022) , Teipas Tales (2022)

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found