Stanford Talisman
Stanford Talisman - Baba Yetu songtekst
Je score:
CHORUS Baba yetu, yet'uliye Mbinguni yetu, yetu, amina! Baba yetu, yet'uliye Kun jina lako e'litukuzwe. (X2) Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule, milelea milele! CHORUS Ufalme wako ufike utakalo Lifanyike duni ani ka ma mbinguni. (Amina) CHORUS Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey! Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule, simama mwehu Baba yetu, yet'uliye Jina lako e'litukuzwe. (X2)