Rusty
Rusty - Mr. Policeman songtekst
Je score:
Intro Rusty Featuring Squad Safi Sounland Production Chorus Mr. Policeman, Afande Usinishike juu nimebeba kipande Mimi sio jambazi Mimi sio jambazi Mimi sio jambazi Mimi sio jambazi Mimi Ni artiste, wa GILO Naimba bila kuvuruga amani Mimi sio jambazi Mimi sio jambazi Mimi sio jambazi Mimi sio jambazi Verse 1 Polisi wakijaribu kutushika hatushikiki Wakijaribu kututisha hatutishiki Kwenye rodi tunapitapita Si ma hustler hatubabaiki Wanasema mi ni mungiki Juu niko na nywele bigi Wanasema nimebeba bangi Nasijatoka Kariobangi Hizi kashfa wanaleta leta Kwenye Tele tunateta teta Hawajui Mimi ni artiste Toka kwenye mitaa ya kati Na hustle game yangu ni dirty Polisi hawani pati pati Leo Afande hakuna hongo Afadhali mi nilale ndani Verse 2 Mr. Policeman Kwani ni aje jo! Nikitoka mitaani, wanihanda doh Hii story hainibambi juu isha ni bore Eti nimetoka wapi hepi Carnivore Anadai niwache ata ka ni soo Story ya kutoa kidogo nilisema no Rusty na bado tunawapa more Risky niko undercover jo Kupoteza kipande imekuwa blunder jo Ah, imekuwa blunder jo Kupoteza kipande imekuwa blunder jo Risky, yeah Verse 3 Ma youth wanahandwa ovyo ovyo Wanapigwa, hawapewi onyo Polisi wakitafuta hongo Wanasema hatuna ubongo Tukiteta si ni waongo Kashfa mob Kama Githongo Kulia si hatutaki Kuumizwa si hatutaki Kuumizwa si hatutaki Kushikwa si hatutaki Bridge Mr. Policeman O ooh Mr. Policeman No ooo Mr. Policeman O ooh Mr. Policeman No ooo x2