Rusty
Rusty - Maisha Yamenipoza songtekst
Je score:
Intro Rusty Featuring Twisty Na Generali Sound land Records Maisha Yamenipoza jo! Nimeamua ku chill Au sio jo! Au sio, Yeah. Chorus Maisha yamenipoza Kweli ninabaki mi nawaza Virusi vya ukimwi kunipata Naona Kama Mimi ntajimada, Aah! Ewe Mola nisamehe Watu wote sasa wanihepa Mimi Leo nimebaki pekee yangu Nashindwa nitaishi ama kufa, Aah! Verse 1 Nimeishi siku nyingi bila kuipata dhiki Leo niko hapa mi mwenzako nasadiki Nimekula raha siku nyingi zaidi ya wiki Bila kujua siku moja nitakosa tiki Mpenzi wangu ameaga naye jina lake Vicky Majirani wanitenga kuniongezea dhiki Nilidhani wazuri kumbe hao wanafiki Walianza matusi kuharibu urafiki Ghafla ikawa sipati hata riziki Maisha Ni magumu sifanyi tena mziki Ningekuwa Na Mali ningenunua Suzuki Niende nayo mbali nikafie Uturuki Kwa jamii bila pesa Ni Kama sikubaliki Nikisema chochote Ni Kama siaminiki Kilio nalia lakini hakisikiki Nawasihi muombe Na Mola awabariki Verse 2 Yeah, HIV haina cure Lakini yaweza preventiwa Ni juu yetu sote Ikiwa uko pure Mimi hapa najaribu kutafuta cure Huku niki preventiwa, Na hali ilivyo Wengi wameaga, wengine mayatima Ikiwa unataka kuwa kioo cha jamii Lazima uwe nami tukisuluhisha jambo hili Najua HIV haina cure Lakini yaweza preventiwa Mradi uwe mwaminifu Wapenzi watukufu Ni wale watembeao Katika njia za haki Mabeshte wacheni taki Upendo, wa dhati Huja tu Kwa marafiki Date za kisirisiri Siku moja ama mbili Utajikuta Kwa kaburi Kufungua, kituo Ni kipindi cha penzi hatari Hatakama una Mali HIV haitambui Verse 3 I say don’t be afraid hata ka una stress Something normal tume come ku address Make sure you’re busy every time una stress Ama u meet hiyo counsel upewe hiyo advice Just ikiwa tough utter word to the Lord aku bless Wasee nawa show si poa kuji stress Nataka mnielewe Ukweli si uwongo Niwaelezayo inatoka kwenye moyo Machali wana go Mambuyu wana go Wamasa wana go Na mamanzi wana go Watu wengi wana go Yeah, yeah yeah Don’t be afraid ata ka una stress Something normal tume come ku address Make sure you’re busy every time una stress Ama u meet hiyo counsel upewe hiyo advice