Rusty
Rusty - Emma songtekst
Je score:
Intro Yeah…Big Unit-Genge Mufti 2008 Dedication to Emma Alters Records Yeah…Twende Aha…ShaSha Mo na Rusty Chorus Mpenzi wangu Emma Mi nakupenda nasema… Macho yako yamenivutia… Mashallah! (Mashallah! ) Why Lie! (Why Lie) x3 Verse 1 Mpenzi wangu Emma Ni kweli mi nasema Mi bado nakupenda Hata watu wakinena Siwezi kukutema Ninakuwazia mema Kwa siku zangu zote Bado mema nitatenda Naapa mpenzi Sitoweza kukutenga Wengi walisema Siwezi kukupata Story nikakata Nisije kukuhata Nafanya uradi fasta Niweze kuwa nawe Ukidrill kwenye highway Na feel kuwa nawe Yeah…na feel kuwa nawe Verse 2 Nakupa tabasamu mikono nakurushia Maisha ni machungu na raha kukimbilia Big Unit tunasema, huwezi tukimbia Popote utaenda sisi tutakufikia Najua uko poa mrembo wakubugia Mara ninapolala ni wewe nafikiria Aaah, Ni msanii kwa sanaa Ni kweli ninasema kunihepa ni balaa Unabaki umeshangaa Ndio maana tunasema Hivi na vile vile Kutoka siku ile JD naitwa hero Kutoka hapa GILO Pretty Emma Mi sikupi vitisho Nakupa langu himizo Na hope sio tatizo Ndio life siku hizo Hivo jinsi ilivyo Ya kweli kutimiza Japo swali we uliza Yeah…Japo swali we uliza Verse 3 Na saa ukinijia Masaa yatimia Wazo langu tulia Yote mengi ya dunia Sahau yalopita Mateso kadri vita Na mi nakuita Ukweli sitoficha Banyes Twist Guitar Ushow zote features Mziki utani… Fikisha mbali Sana Na hope ndio future Manake sio nature Manake tunawika tukidai every time Pretty Emma I love you so much Baby, I love you so much Outro Big up Mafans wote wa GILO Skug Unit Squad Safi Madedix Tuko pamoja tu yaani… Au sio!