Nonini
Nonini - Manzi Wa Nairobi songtekst
Je score:
Machali leo hamtala, machali leo hamtala Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika Machali leo hamtalala Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika Ka ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika Piga nduru,piga nduru,piga nduru usikike huku kwetu African Zima nchi zote lazima kelele itafika Dunia nzima hakuna manzi ka wa Nairobi Ameng'ra nguo safi kidhani jana amezitoa tope Kila siku namuona taoo akitembea na maringo Hata ukimpita lazima utapindua hiyo shingo Kwa akili nafikiria atafunguaje hizo vifungo Hiyo jeans imemkaza itamkazia kufika huko Watu wameshindwa kusema jina yangu Nonini Sababu nimeona mwingine amenga'ra li nini na nini Checky vile anatetemeka ni kama nimekunywa chang'aa Juwa zile vitu nimeona jana jo utashangaa Jua kali nakwambia utabidi tumeanza kuchangaa Kama huna bima we ndio utaanza kutanga tanga Checky yule kakakakakakaka Checky yule kikakakakaka Ningekuwa judge misingevaa nisivyo kawaida Manzi wote wa Nairobi wangeshinda bila shidaaaa [Chorus] Hamunioni Nairobi tena nikienda kucheki movie Ya manzi mpoa haja vaa any ndani ya jaquzi Hata ka ni Julia Roberts Nataka wa Nairobi yule anaoganga na hiyo hiyo roberts Msafi resize yake ameshisha kiplani Msauni muatherere anaweza kumalizia ganji Hakuona kwa kichwa yake ameketisha sisasini Na kaa kawaida kwa mfuko anaingiza profit ya hamsini Mchukuwe manzi yoyote yule humjui Kama hutaki kosana sana na wale wako Kitui Lakini watu husema wanataki ya hiyo mi sijui Kuwa ready kupelekwa mbio ama utawika u-u-uwii Na naongea from experience niliacha moja juzi Mluhya kumunduyo manzi ameshona bana Hizo miguu zake amezitumia sana Wacha ikae ka ni huyo mi nawika hapana (Mjaluo) Saa umeongea, huyo ndio mambo yote Nyuma ukimchecki mazee ambebe zote Nikisimama na yeye, tunatoshana Tukipoa down ni mrefu, tena sana Nashindwa nikimpata hizo mizigo nitaezana Usiniulize mzigo gani, wajua wacha kujifanyaaa aa-aa-aa-aaaaaaaaa Nonini [Chorus] Si-ta-choka na kuwapatia manzi wa Nairobi sifa Hii ngoma inaeza enda one hour kabla haijaisha Kuna manzi mpoa ni ugonjwa huaga ameshikishwa Mabeste wanaambia Nonini huwa umerogwa Nimerogwa na ninazidi kuroga juu ya vile wananiroga Au vipi jua kali (mmh mmh) Nakwambia ukweli mi si muongo wala muoga Ukilala wasikia sauti yangu na kwambia songa Ukikaa niko kando yako bado ukibuy mboga Kwa bafu kwa bafu kwa bafu Niko nyuma yako na kusugua mgongo tukiogaaa Machali leo hamtalala Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika Ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika Machali leo hamtalala Machali leo hamtalala Carlif records Aaaii, wewe hii track ni kali Aaaii, aaaii,wewe hii track ni kali, aaaii...