Malika
Malika - Jonvu Kuu songtekst
Je score:
Mimi naishi mbali niko jonvu kuu Kwa jina lake la pili hambiya Kismayu Mungu tanipa sahali nipate nye nafuu Nimegovu yangu hali kwa kwenda kwa maguu Mimi naishi mbali niko jonvu kuu Kwa jina lake la pili hambiya Kismayu Mungu tanipa sahali nipate nye nafuu Nimegovu yangu hali kwa kwenda kwa maguu Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya Na mabaya penzi wangu unifikia Haya ninayo kwambiya yasiokuwa na budi Iliupate elewa uliabaidi Mthana kutwani juwa na usiku ni baridii Mimi na uguwa fanya jitihadi Haya ninayo kwambiya yasiokuwa na budi Iliupate elewa uliabaidi Mthana kutwani juwa na usiku ni baridii Mimi na uguwa fanya jitihadi Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya Na mabaya penzi wangu unifikia Mahe maya ya na vuja ikinyesha mvua Huwezi kukiti hajaa ikitokeya Aris Farah Mimi hapa nakungoja upate kunithukuwa Bathibu kunipoza ni wewe juwa Mahe maya ya na vuja ikinyesha mvua Huwezi kukiti hajaa ikitokeya Mimi hapa nakungoja upate kunithukuwa Kathibu kunipoza ni wewe juwa Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya Na mabaya penzi wangu unifikia Mtakuwa na maana tukiwa na utu Tutafurahika sana kwa kila kitu Litepukele tushina zinyawiri nyoyo zetu Inshallah tutaonana ewe wangu mtu Tutakuwa na maana tukiwa na utu Tutafurahika sana kwa kila kitu Litepukele tushina zinyawiri nyoyo zetu Inshallah tutaonana ewe wangu mtu Nimechoka na dhiki nyingi na udhiya Na mabaya penzi wangu unifikia