Mad Ice
Mad Ice - Wange songtekst
Je score:
(Intro) Ye gwe wange... (Chorus) Woo njagala gwe okimanye Nti yegwe wange... kimanye. Nkwagalanyo mukwano... era. Sirikulekanze mukabi... owaah Nakupenda sana (Verse 1) Eh siwezi ishi bila yako wee darlin' Penzi lako kwangu lathamani Uwapo mbali moyoni sina amani Na kila ninapokuona Furaha tele moyoni Ingawa wanasema eti hunifai Mimi sijali nawaona wazushi Hata wakisema eti hunifai Mimi sijali masikio nimeziba Watasema usiku watalala Watasema mwishioni watachoka Mimi sibadiliki hey iyeeh. (Chorus) Woo njagala gwe okimanye Nti yegwe wange... kimanye. Nkwagalanyo mukwano... era. Sirikulekanze mukabi... owaah Nakupenda sana (Verse 2) Hebu sikia Wewe ndiye wangu wamilele Niliye mchaguwa kati ya wale wengi Nataka tufunge pingu za maisha Kwa hiyo wote wajue kamwe sikuachi Ingawa wanasema eti hunifai Mimi sijali nawaona wazushi Hata wakisema eti hunifai Mimi sijali masikio nimeziba Watasema usiku watalala Watasema mwishioni watachoka Mimi sibadiliki hey iyeeh. (Chorus) Woo njagala gwe okimanye Nti yegwe wange... kimanye. Nkwagalanyo mukwano... era. Sirikulekanze mukabi... owaah Nakupenda sana (Bridge) Yegwe wange... yegwe gwenetaga... mubulamu bwange Njoo kwangu wee... hey eeh hey eeh Nakaka ujue... nti yegewe wange (Chorus) Woo njagala gwe okimanye Nti yegwe wange... kimanye. Nkwagalanyo mukwano... era. Sirikulekanze mukabi... owaah Nakupenda sana Nakupenda sana wewe (Nataka ujue... nataka ujue Kuwa nakupenda sana) x 2