Leteipa the King
Leteipa the King - Ringtone ft Shanny cool songtekst
Je score:
#VERSE Mhhh Umbo lako thufutwende, ka ulizaliwa na mavazi mamaah Fat ndondero, Hot morero mpenzi weeh Na ungewa peremende, Ningekula mpaka karatasi, Kakitoweo, my kipepeo mpenzi wee Wengine mihogo, kwako Nala maini Yani mkorogo, smooth kitu laini Na akina mbogo, Wakileta zogo Ntawalamba gogo Wajue we ni wa mine iih Ndugu zangu usiwasikie (iyeeeeeeeeh) Dada zangu uwavumilie (iyeeeeeeeeh) Hawataki tufurahie (iyeeeeeeeeh) Mimi na wewe Nipikie niwafurie (iyeeeeeeeeh) Tupendane washuhudie (iyeeeeeeeeh) Baadae wasimulie. Kwa majirani #CHORUS Sauti Kama kinanda (My ringtone) We ndo yangu burudani (My ringtone) We ndo Pete mi ndo Chanda (My ringtone) Nakukabidhi usukani (My ringtone) We ndo my queeeeeeen (My ringtone) All I neeeeeeeeed (My ringtone) Aaaaaaah (My ringtone) Mhhh (My ringtone) Yeiyeeeeh (My ringtone) #VERSE Handsome, gentle, ndume la kimasai Future husband, my best song, Wote wanakudai Wasikulaghai, ati sikufai (Ni Mimi na wewe mpaka mwisho tukifly) Napenda ukiniita voice Kama guitar Sweetart, My mister Definitely my minister Agiza upewe Niguze nilewe Ukija nyumbani naomba usichelewe Na hawa mamwewe Babe nielewe (Hawataki kuona tukifurahi na wewe) Nakuhakikishia, Ntakuhudumia , Unawiri, unone, Wabaki wanazimia Nawakirudia Kukukaribia Ntangoa mtu meno, Wajue nakuzimia #CHORUS Sauti Kama kinanda (My ringtone) We ndo yangu burudani (My ringtone) We ndo Pete mi ndo Chanda (My ringtone) Nakukabidhi usukani (My ringtone) We ndo my queeeeeeen (My ringtone) All I neeeeeeeeed (My ringtone) Aaaaaaah (My ringtone) Mhhh (My ringtone) Yeiyeeeeh (My ringtone)