Leteipa the King

Leteipa the King - Nipende mimi songtekst

Je score:

#VERSE
Umeketi,  
kwa corner,  Ukifikiria, 
Vile maisha,
 ya  mapenzi, yamekukalia,
Any shoe  that, 
you admire,  
inawa  ndogo kwako dear, 
Mpaka sasa,
 umeamua, peku  kutembea,
Umesahau kiatu  chako Kipo,
Kimetengezwa tu  kwa ajili yako

#HOOK
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie, 
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie

#CHORUS
Labda ulipenda, hao wengine 
wakakuonyesha kilio,
Yule mwingine
 wa mwisho akakuuma sikio,
They used you
 na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi... 
Nipende mimi

#VERSE
You think that,
 you are lonely, 
Coz no one is close to you, 
And even those that, 
 are closer, 
 they never bother to fight for you, 
Umeapa 
kamwe, hutawahi penda, 
Juu wanaume wote, 
ni mafisi,
 mwishoni watakutenda,
Give me a chance
 to prove 
your statement is wrong, 
Naapa  kwa wote 
wanaoskiza this song

#HOOK
Labda ulipenda hao wengine
 wakakuonyesha kilio,
kilio kiliiiiioo

#HOOK
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie, 
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,
Vind dit lied op:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Auteur: Teipa

Componist: Leteipa the King

Publisher: Leteipa the King

Details:

Taal: Swahili

Komt voor op: Teipas tales (2022) , Teipas Tales (2022)

Deel je mening

Dit formulier wordt beschermd door reCAPTCHA en de Google Privacy Policy en Servicevoorwaarden zijn daarbij van toepassing.

0 Reacties gevonden