Leteipa the King
Leteipa the King - Nane ondoa Moja (8-1) ft Bonnie winsome songtekst
Je score:
#VERSE (Leteipa the King) sura cute kama Shiro shape ya Akinyi mtoto anavutia yaani kedo keoyoyo utamu Hadi kwa ngoro anavyokata kiuno juu mpaka chini nahisi kubugia kwa ukafi na uchoyo nasahau my sorrow unavyoniroga we umeniwahi utamu wa soda siwezi denie ati wanabonga we haunifai but watajinyonga si tukijinice my marabwani babe boo wee ndo nyama kitunguu biringanya thufu tu thufu tuu mbele yako sikukuu nyuma yako kichuguu Kam tuunde wajukuu wajukuu #CHORUS (Leteipa the King) (nane ondoa Moja ah ah aha) ka unapuliza moto hebu Anika nione (nane ondoa Moja) ka unaosha mtoto hebu thigitha nipone (nane ondoa Moja ah ah aha) unanipandisha joto leta weeedah nichome (nane ondoa Moja) nisahau Niko msoto zikirarika nishone #HOOK ( Bonnie winsome) wine fi dih beat jiggle Fi dih beat spin Pon dih beat giving sweet kinda love gal you make it lit vile unakil you do it like a drill vile love unaseal #VERSE (Bonnie winsome) Mtoto ripe ripe sema lugha vujuven spin hiyo bompa kama from Japan ukistep in tunacut the chain vilevile ukibinga bado ni insane nipe tamtam chew kama mbinginji nitadrive ndani mita kama sixty six jackpot nakawayne kwangu bed ni fixed donda nikidandia nakachop kwa speedie wacha katambe walae shourtie unavyonipa haucheki my bae acha tukesi baadae vile unanimada bae am ready to die wacha katambe walaeo love unavyonipa haufakeit my bae acha tukesi baadae vile unanimada bae am ready to die #CHORUS (Leteipa the King) (nane ondoa Moja ah ah aha) ka unapuliza moto hebu Anika nione (nane ondoa Moja) ka unaosha mtoto hebu thigitha nipone (nane ondoa Moja ah ah aha) unanipandisha joto leta weeedah nichome (nane ondoa Moja) nisahau Niko msoto zikirarika nishone #HOOK ( Bonnie winsome) wine fi dih beat jiggle Fi dih beat spin Pon dih beat giving sweet kinda love gal you make it lit vile unakil you do it like a drill vile love unaseal #HOOK2 (Bonnie winsome) wacha katambe walae shourtie unavyonipa haucheki my bae acha tukesi baadae vile unanimada bae am ready to die wacha katambe walaeo love unavyonipa haufakeit my bae acha tukesi baadae vile unanimada bae am ready to die #CHORUS (Leteipa the King) (nane ondoa Moja ah ah aha) ka unapuliza moto hebu Anika nione (nane ondoa Moja) ka unaosha mtoto hebu thigitha nipone (nane ondoa Moja ah ah aha) unanipandisha joto leta weeedah nichome (nane ondoa Moja) nisahau Niko msoto zikirarika nishone #HOOK ( Bonnie winsome) wine fi dih beat jiggle Fi dih beat spin Pon dih beat giving sweet kinda love gal you make it lit vile unakil you do it like a drill vile love unaseal