Leteipa the King
Leteipa the King - Looser ft Muna party songtekst
Je score:
INTRO: Ni vampk Muna Party again, iyeeiyeeah... VERSE 1 (Leteipa the King) Chochote, nachofanya, Kinawapa homa ya ndege, Elnino kichwa na tumboni, nikingara, Najifanya, Nilichapa nimewa bwege, sijui nivae nyong'inyo shingoni, Nikijitenga wanasema Nina matharao, (Huh) ati nimetupa mbao (aaaeeh) nanikibonga ati najipendekeza kwao (Huh huh) mnataka niishi how?? nawanawika, kanajiringa hakatafika siwapi maskio, (aeeeeh) nauhakika hata wakipinga bado ntafika yangu mafanikio ouuuouuuh... CHORUS (Leteipa the King) mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu, sijali mnachosema, maisha ntayaendesha, am not a looser eeeeeh am not a looser ooooooh am not a looser eeeeeh am not a looser oooooh VERSE 2 (Muna Party) Everything I do they are all afte me, wanajidai, wao manabii, wanataka maisha yangu yajengwe na maneno yao, lakini hiyo itabidi wamesahau juu kama ni riziki, Mungu ndo anagawa so hata wakisnitch, siwezi nikapagawa maaana wote walopata hawakuzaliwa nazo walifanya mchakamchaka bidii na mkazo kila siku kukikucha nimepewa fursa inabidi nijitolee, kwa bidii natafuta, Niweze kuzinduka hizi shida ziniondokee niache kuteseka kwa maisha mi toke Hali ngumu ziwe laini, walionicheka tunapokutana wapige uso chini CHORUS (Leteipa the King) mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu, sijali mnachosema, maisha ntayaendesha, am not a looser eeeeeh am not a looser ooooooh am not a looser eeeeeh am not a looser oooooh CHORUS (Leteipa the King) mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu, sijali mnachosema, maisha ntayaendesha, am not a looser eeeeeh am not a looser ooooooh am not a looser eeeeeh am not a looser oooooh .