Leteipa the King
Leteipa the King - Dwanzi songtekst
Je score:
Verse: Unashout na nguvu but siskii kile unasema babe unanitoa roho, na unanikaba koo mimi mi sio wazungu wale unacheki kwa sinema babe, Sometimes huwa naboo Kwanza nikiwa sina dooh Nikikosea unaexpect kwangu iwe burudani, But mi nikikosa inawa scundle mob kwa majirani, You are so lucky niko humble sipendi visirani Ningekulamba likofi open your mouth nijaze miti ndani Hook Tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio nicheki nijikalie Ati heri kudate mbuzi ama homo erectus kuliko fisi linivamie I feel like running away, nikajipende peke yangu, But i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi wangu Chorus kabujubuju, wewe kwangu ni kama mihadarati(Despite the effects am addicted to you) Na sio juju you are the only cockroach in my kabati (You are my prefect what you say i will do) Majina yote nitakuita ill adore you like my granda (Despite the effects am addicted to you) Ill protect you like my sister respect you like my mama (You are my prefect what you say i will do) Verse 2 When you are happy i feel so lucky coz you make it sweet and bulky chumbani, Utamu wa mayai, Na flavour warm kama chai But when you are angry, its so ugly miaka laki nikiwa hungry jangwani Inawasha ka dhafai, Na lethal kama rungu ya masai You treat me worst than a thief heri kamiti ndani Sikuhizi hug ama kiss wataka risiti kwani, Siku hizi chat ni madiss kivyumba vya burudani words tamu kama please, ninakumiss zilidissapear kwani Hook Tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio nicheki nijikalie Ati heri kudate mbuzi ama homo erectus kuliko fisi linivamie I feel like running away, nikajipende peke yangu, But i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi wangu Chorus kabujubuju, wewe kwangu ni kama mihadarati(Despite the effects am addicted to you) Na sio juju you are the only cockroach in my kabati (You are my prefect what you say i will do) Majina yote nitakuita ill adore you like my granda (Despite the effects am addicted to you) Ill protect you like my sister respect you like my mama (You are my prefect what you say i will do)