Leteipa the King
Leteipa the King - Cute gal songtekst
Je score:
#HOOK You are bright like star, Unang'aa ka star, Brown skin ngozi haina hata ka scar, Ndo nikikupata maze joh umekaa kwa mtaa Najiuliza maquestions mingi kama Are you a princess, Are you a queen dear You look delicate kwani uliumbwa ma nuclear Unaeza nipa number nitakupigia Unaeza Ingia box nikikukatia #CHORUS Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal Sparkling bright, sparkling bright Alright Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal Sparkling bright, sparkling bright Alright #VERSE You are calm like dove Straight and no curve Everytime I watch you walking I just feel some nerve You give me sweet love With the things you have Ntakutunza kama pipe Ntakutunza ka valve Kweli you deserve Mimi kukuserve Kwa list yangu ya waresh You appear above Ungekuwa nyama ningekula mpaka Mfupa Ungekuwa soda ningekunywa mpaka chupa Ungekuwa gym ningeinua bila pupa Like an incect egg lava mpaka pupa Hukuwa created, You were discovered Highly reloaded ka application ya java You are my Godded You are my lover Ningekuwa textbook ningekufanya cover #HOOK You are bright like star, Unang'aa ka star, Brown skin ngozi haina hata ka scar, Ndo nikikupata maze joh umekaa kwa mtaa Najiuliza maquestions mingi kama Are you a princess, Are you a queen dear You look delicate kwani uliumbwa ma nuclear Unaeza nipa number nitakupigia Unaeza Ingia box nikikukatia #CHORUS Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal Sparkling bright, sparkling bright Alright Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal Sparkling bright, sparkling bright Alright #VERSE Ninakuja kwako nimetoa mpaka koti Hata ikinibidi maze napiga magoti Naomba nafasi Nikupe madotidoti, Sina noti But I promise ntakupa mapenzi hotty You make me shive Ka mwizi na siku forty Ninakuhitaji kama mtoi na poti You are diet like a rabbit na carrot You are my omena like Otieno and Atoti Uko nutritious ka sukuma wiki Hata ukishuta maze jooh hakanuki Mimi ndo helmet na we ni pikipiki Wewe ndo hours na mi siku ya wiki Nakupenda malaika Kwako mi nimefika Sioni Aibu kusema natangaza kwenye spika I am not lying ni kweli mi naandika You are mine Forever if you leave ntababaika Bila kudanganya Umenivutia Harufu yako babe gal ninanusia Damu inanifroze mi nikikuskia Nanikikipata ntabahatikia #HOOK You are bright like star, Unang'aa ka star, Brown skin ngozi haina hata ka scar, Ndo nikikupata maze joh umekaa kwa mtaa Najiuliza maquestions mingi kama Are you a princess, Are you a queen dear You look delicate kwani uliumbwa ma nuclear Unaeza nipa number nitakupigia Unaeza Ingia box nikikukatia #CHORUS Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal Sparkling bright, sparkling bright Alright Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal Sparkling bright, sparkling bright Alright