Leteipa the King
Leteipa the King - Bangi na supu songtekst
Je score:
#INTRO Iyeiyeiyeeaaaaah Ni Vampk, 254 Traveller done #VERSE Najua uko busy na mambo zako Ila pokea simu, Hata dakika mbili tu Angalau Mwenzako nina chizi natupa mbao Wewe ndo yangu jibu, Ama wangoja Mazishi uchange thao Yale uliyotabiri, Tayari yametimia, kwamba siwezi bila wewe Nimepigwa na baridi Ujinga umeniishia, rudi na usichelewe #HOOK Mwenzako ninaghoroka Sili silali nakufikiria Kutwa ngwai na moghoka iyee Sikatai mi ni joker Fisi mlafi ila najutia Ukirudi ntaokoa #CHORUS Nakuahidi, ntajitahidi (Bangi na supu) Kama na danganya Kilimanjaro iniangukie (Bangu na supu) Na ukaidi, na Ugaidi (Bangi na supu) Na kuhanyahanya hizo njaro sio zangu mie Nilitupa yangu jiko, na yangu mwiko Juu nilinogewa na wali Sasa najuta kule ziko Kutwa kucha niko riko Stove na kijiko Ndio nasongea ugali Sipumui mafuriko Raha yangu ni wewe Naomba unihurumie Ukiniacha mambo yangu yataenda kombo Siucheze kiwewe Chance ya mwisho nipatiwe Wali nitaosha mpaka viombo #HOOK Mwenzako ninaghoroka Sili silali nakufikiria Kutwa ngwai na moghoka iyee Sikatai mi ni joker Fisi mlafi ila najutia Ukirudi ntaokoa #CHORUS Nakuahidi, ntajitahidi (Bangi na supu) Kama na danganya Kilimanjaro iniangukie (Bangu na supu) Na ukaidi, na Ugaidi (Bangi na supu) Na kuhanyahanya hizo njaro sio zangu mie