Leteipa the King
Leteipa the King - Baki na mimi songtekst
Je score:
INTRO; Ni vampK 254. Mhhhhh VERSE 1: Kukutazama, Ukitabasamu Nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka We ndo kitabu, Mi ndo kalamu Niliumbwa kwa ajili yako, Kama masai na Rubeka Ninatamani ningewa yako mavazi Nikusitiri nikuguse Kila wakati Ungewa stew ama kasupu ka mbaazi Ningewa sembe Mokimo ama chapati HOOK: Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Kamba za viatu babe, mi nikufungie CHORUS: (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba , Utapona nna tiba mamaa VERSE 2: Nakama ungewa, mwanasiasa,ninge piga kampeni zako Nikusifie, kwa giza na mwangaza, mpaka kwa maadui zako Nitakubusu bila woga hadharani Ili wajue wewe ndo wangu mwandani Ungewa kijiko lazma ningewa sahani Kututenganisha Hilo haliwezekani HOOK: Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Na ukichoka,nikubebe, wivu wasikie CHORUS: (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba , Utapona nna tiba mamaa