Eazy-E
Eazy-E - Leo Ni Leo songtekst
Je score:
E-sir lyrics to Leo ni leo Chorus Leo leo leo leo leo ni leo asemaye kesho ni muongo manzi nipe nipe mkono tembea nani cheza mani leo warudi nyumbani bali kiuno wacha nikupe mfano Ni ijumaa saa mbili imefika weekendi imeingia lazima nitashangilia tomo ukifika nyumbani pigia simu Rodha na Rukia tapigia Monalisa usisahau tena pia kuja na pesa za kutosha kabla hauja nipitia jua pirate wapenda mangiri si mamia kiswahili na wakilisha mamanzi not forgetting karioke club atoti from the front to the rear bringing down the house no matter how strong the pillar kwa sababu Chorus Natoka ndani ya nyumba nikimeremeta kama nyota unawezakuwa kipofu usiniangalie mbota kutoka juu mpaka chini nimevaa hil figure marashi ya polo kwa hivyo vizuri nanukia aaah! gari ni 504 Tom ana nitoto tofungua dirisha kuna joto to mpaka wapi bro baada ya kengeles tutamalizia canivore bouncer amekuja kuparty fungua mlango jo leo ni leo asemae kesho ni muongo acha kuongea mob nipe chupa mbili za tembo nionyeshe upendo oyah..aah! leo leo leo asemaye kesho ni muongo excuse me mbona wataka kutuua na mazishi plan kuja waiter twenty tatu sasa mbuka na kama kawaida mbili mbili sambuka Dame mwenye kutembea utafikiri ana viuno viwili aah! jina langu ni E-sir mimi wananiita majina lako nimelisikia mahali wa sound very familiar ni lazima umenisikia kwa radio kiss capital nation na pia metro unaweza kwa mafuta ukishika kama petro mzee wako akiuumiza E-sir ndoi dettol leo ni leo kwa hivyo ngoje kesho kesho leo leo leo asemaye kesho ni muongo x2 kama unaonatrack imekushika ningependa ukaribie spika ongeza volume kama uko ndani ya club uwe mamba carni........au club yoyote mwambie DJ akupe scarch mbili nakama yuwakuliza kwanini mwambie hivi chorus