National Anthems (Nationale Volksliederen)
National Anthems (Nationale Volksliederen) - Kenya Native Anthem Text songtekst
Je score:
KiSwahili (verse:1) Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na udugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi. (verse:2) Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda (verse:3) Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco