Wudz
Wudz - Shawty lyrics
Your rating:
Najua ushanimezea But ni kitu nishazoea So kabla ubonge juu ya ndoa Eti unataka kunioa Tulia kiasi Jipe nafasi Cuz mi ni ule boy rui Kuchezea mabinti kama toy Kina Monica, Wangeci na Joy Si shore akijipa manze enjoy Sijasema mi ni player but siko ready for love Ganji on daily basis Kupiga show for my fans Is my fancy plus Si unaelewa hii lifestyle venye iko na kiburi Waliojiachilia mapema saa hii wako kwa kaburi Waliogundua mapema saa hii ni rozari na zaburi So please ka umenifeel for real subiri Labda kuna mazuri: Chorus; Shawty najua umefall nami Text kibao ngware hadi jioni Kuconfess vile wanitamani Eti life bila G hauoni x2 We ni msupa for sure Naeza kupeleka show Just to show you off Najua hujanipenda for doo Eti out kila saa na credo Mtoto mzuri hata Nonini atatestify Hiyo smile, hizo eyes Mtoto shy Mwili moja wazimu Sauti tamu kwa simu Pia umechop From ya Gucci shoes to ya Gucci top Kila kitu kinasema class In my heart kwa kweli umepata gate pass But naogopa kukutumia vibaya Kama mwanafunzi na kaya Kisha nikudump kama rubbish kando ya streets Ah ah, kabla unipe yo first kiss Pliz consider this: Sijui ulitoa wapi namba yangu ya simu Kunipigia saa sita usiku Niko like 'Nani huyu? Nkt, wazimu' Siku ya pili friend request FB Twitter ushafollow me Siku ya tatu tuko club Uko na mahangre za kunishow love Kuniangalia ndani ya macho Ooops! Kumbe mtoto ni vajo Muda kidogo manzi yangu akatokea Haukushtuka, ulimgotea na kudisappear Still the following day Ulininvite kwa bash yako Kudance the night away Ulisema penzi lako si vako Naskia kuchanganyikiwa wewe Kama kawaida ningekuwa nishapita na wewe But kuna kitu rohoni beiby Sijui ni nini but sina haraka na wewe Sina haraka na wewe Baby girl take it slow Wengi wamekam wamego Sitaki kukuvunja roho Kama wanipenda basi chill kidogo