Sauti Sol
Sauti Sol - Sura Yako lyrics
Your rating:
Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi, Kukupenda sitasizi Sura yako mzuri mama, aaah Mzuri mama â?¦ Na tabasamu lako maua, aaah Mzuri mama â?¦ Itabidi nikulinde, nikutunze Mama, usikose lolot Pete nayo nikuvishe, nikuoe Mama, usiende popote Juu moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, Eh! Itabidi nikumarry Moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, Eh! Itabidi nikumarry Na figure yako kama ya chupa, aaah Mzuri Mama â?¦ Na sura yako mzuri mama, aaah Mzuri mama â?¦ Piga dansi kidogo, Piga da... piga dansi kidogo, Dansi kidogo, Piga da... piga dansi kidogo â?¦