Rusty
Rusty - Tafash lyrics
Your rating:
Intro Rusty Raundi hii ni Genge Nafanya mcheke Nikiwapatia true story Ya Manzi yangu Mnataka kuiskiza? Mnataka kuiskiza? Ndio hiyo, sawa. Chorus Tafash Jo, kukupenda manzi yangu Tafash Jo, kukutembelea kwenyu Tafash Jo, ningehandwa juu yako Tafash Jo, Tafash Jo, I say x2 Verse 1 Nakumbuka hiyo day tumeenda ku party Downtown tuka go kukutana na Shawty Kufika kwa gate, tukapata Wochi Niwasaidie vipi mothama ni mngori Tunataka Shee tuongee one minute Haya ingieni mkipatwa shida yenu Kufika kwa door, tuka meet na Shiro Kabla hajagota, matha akafungua diro Mnafanya nini?, na mnataka nini? Nawapa 5 minutes au niite Polisi Si hatuna noma tumeleta tu salamu Na kama huamini tuandike kwa kalamu Verse 2 After kutoa uzushi matha akatoka nje Nani ana psych asimame ni mvunje? Tukajifanya chizi na kukula mbao finje Dame alitoka tukadai ajifiche Kuona kumethoka wochi akatudandia Ali come na madogi na life kututishia Alikuwa amevaa, label moja ya bandia Akaanza kuturuka ati si tuna hatia Mbuyu akatoka, kama ametuhanda Hawa wanajua wanakaa kwa kibanda Wanataka kuharibu msichana Kwa kitanda Wote wakadai ati sisi ni ma dunder Verse 3 Noma ikazidi na si tukakaidi Siku si ya idi na tumewakisha udi Magova waka come, na kutuita kando Mmoja wao, alikuwa ni Onyango Nani hii nyang’au? Na italala ndani! Tukadai sio noma, niku by-pass Mbuyu akasema, tunaishi ghetto Tafash Jo, kumbe ningekatiziwa Tafash Jo, kumbe mimi ningeshikwa Tafash Jo, kumbe ningekatiziwa Tafash Jo, kumbe mimi ningeshikwa Outro Manze kutembelea dame Kwao manze ni Tafash Jo Usijaribu, chunga usipatikane Ukipatikana ni mwathara Hii ni Tafash manze Raundi hii ni kunoma Alters Records Skiza hii Dedication ya wasee wote wa ghetto Ni ngumu ka metal