Rusty
Rusty - Sanaa lyrics
Your rating:
Chorus Skiza mistari, vile mimi natimiza Ndoto yangu, kutoka kwenye giza Kwenye Sanaa, msanii natumbuiza Wengi walisema, mziki sio career Kaa chini, bro hebu fikiria Kushika MIC, kajifunza kuitumia Kwenye mawazo, yangu natilia Mkazo mkali, basi masaa yatimia Verse 1 Saa hii nimeibuka Masaa imefika wasanii kugutuka Kutoka underground, this time nainuka Mziki elimisha wala sio kwa payuka Skia hiyo beat vile mi nimeisuka Piracy mitumba, Origy Ni Kwa duka Hip Hop iligenya saa hii imefufuka Usiponisikia we mwenyewe utajuta Majuto Ni mjukuu basi we usijiduu…yeah Verse 2 Tangu nianze usanii kuna madeni nimekopa Pengine ningechanga doh, ningekuwa Na chopper Saa hii mi celeb, underground nimetoka Nimetoka mbali, ukiniona we toroka Kufuata, mafala, wajanja naogopa Mbio za nyikani, any time nachomoka Wazazi wanikanya, wanasema napotoka Kijana nsikilize mi mamako naokoka Dunia mbaya sana, na ufalme ni wa nyoka Vijana, wasichana wote wanacheza soka Nini?, eti wanacheza soccer! Vijana, wasichana wote wanacheza soccer Verse 3 Ma time zimefika Piaily Na Babily kujulikana Kutoka long time, this time twapambana Bidii toka nayo tume hustle tena sana Methali yangu, Ina maana nyingi Sana Wengi wameshindwa kuichambua noma Sana Mziki sio game usipo hit uwe blame jinga Sana Nakupa tabasamu mikono nakurushia Maisha ni machungu na raha kukimbilia Big Unit tunasema huwezi tukimbia Popote utaenda sisi tutakufikia Nakupa kitu kali Piaily Na Rusty boy A.k.a. Wakily Outro Ukoo Gani Squad Safi Moss, Piaily, Babily na Rinty Binty Yeah…One Luv