Rusty
Rusty - Hapendi lyrics
Your rating:
Intro Squad Safi Soundland Records Aaaaah…Aaaaah! Chorus Hapendi kunicheki mi nikilialia Hapendi kunicheki mi nikiumiaumia Hapendi kunicheki mi nikiyajutia Aaaaah…Nikiyajutia Niki Nikiyajutia x2 Verse 1 Life, ikienda enda astray Hapendi kunicheki cheki niki suffer pain Nikiwa broke huwa ye ana make it rain Sipati zero kwake always, nina gain Sifanyi secular coz now am born again Juu yetu msalabani Christ ali suffer pain Tupate kuepuka mitego za shetani Tupate ku sevika kutoka kwa madhambi Verse 2 Saa zingine, vitu zenye si hufanya Huwa zinakasirisha Mungu TENA SANA Kutenda dhambi, pia hata na kuhanya Zote hizo, mimi nasema hapana Kutia chumvi, pia na kutukanana Hata kutenda maovu yasiyo na maana Ulevi mwingi, wamama kusengenyana Zote nasema hapana zote nasema hapana Verse 3 Sasa natangaza, captives all free In the name of Jesus, the blind now fi see Miaka mingi shetani nakupa bye bye Kwaheri ya kuonana vako zako ni za lie (lie) We ni liar, we ni Ibilisi mkubwa Kuwafanya wanadamu kuwa kama wafungwa Leo natangaza haya yote hadharani Leo natangaza vita dhidi ya shetani Verse 4 Hapendi kuniona mi nikilialia Tangu kitambo kwa dhambi niliingilia Lakini bado, MOLA umenishikilia Ndio maana, kwako nimekimbilia Nimeokoka, Kwa dhambi Mimi sitalia Unani protect, yaani waniangalia Neno lako, forever nitashikilia Shetani hanioni kwako nimekwamilia