Rusty Kenyan Gucci
Rusty Kenyan Gucci - Niko Upside lyrics
Your rating:
Intro Rusty boy Na mc rank Alter productshizzle Leo niko upside Upside Chorus Leo niko upside, leo niko upside Nimechoka na underground Nipe nafasi, nipe nafasi Usiwe na wasi au kasi x2 VERSE 1 Ni wengi wanasema kuwa mimi niko down, Nawapa kitu kali kumliko sean paul, Utanicheki kwa TV ukiwa tu hapo home, Relax utulie na ufungue diro, Joto ikizidi basi, toa tisho Mi huenda ma lap nikichapa tu ma show, Usanii iko kwa blood si kitu ya kujidoo, Ukisikia hiyo beat utajuta kunidiss Nikishika MIC mi nakupa kitu real coz Leo niko up all the way from down yeah Chorus Leo niko upside, leo niko upside Nimechoka na underground Nipe nafasi, nipe nafasi Usiwe na wasi au kasi x2 VERSE 2 Am the best in Kenya, superior than the rest All the way from west, calling jah to bless yeah No matter what you claim, I will still excel Everywhere I go, everything I do Nobody will be, a crime to me Celebrity is the label, call me an eagle I am a nigga throwing, my fingers up and down To frustrate the waiders, coz leo niko up all the way from down yeah Leo niko up all the way from down yeah Chorus Leo niko upside, leo niko upside Nimechoka na underground Nipe nafasi, nipe nafasi Usiwe na wasi au kasi x2 VERSE 3 Saa hii nimefika, mahali mi nalike, Ninaenda speed kama ninaride bike, Ninafeel, niko high why lie, Niko hike, na psych inaniply Nimetoka far, situation sitamind, Ninapledge, mimi sitakosa plight Mafans wananilike kama chapaa Hakuna kuogopa sibebi silaha Wacha kunidiss sikunywi chang'aa Ujuwe nimefika na ninafly high Ujuwe nimefika na ninafly high Na ninafly high Chorus Leo niko upside, leo niko upside Nimechoka na underground Nipe nafasi, nipe nafasi Usiwe na wasi au kasi x 4 Outro Usiwe na wasi au kasi Usiwe na wasi au kasi