Msanii Holyman
Msanii Holyman - Promise lyrics
Your rating:
Niliskiza redi, nikajitizama huko ndani Kulikuwa na guitars, nyatiti pia nadhani Na nilishaa gaagaa matiti ya mama zamani Kama huelewi, hautakuwa na imani Tuko engaged kaa simu, bado ako zile za tease me Sijui kiss me, wengine sijui chips me Sacrifice nimemake hata nimepea industry kidneys Nakamua kaa farmer, saa zingine kaa kidis Kanyari mbegu pesa ngapi, nipande family tree Haujaskia the best things in life are free Nilijua nikitoa kamasi kwa pua nikiwa class three Yuko wapi Frash na Chris tudandie mathree Sababu mende akitaka kurule over the kuku Lazima amueke mwewe kaa bodyguard Amlipe zaidi ya bugu Lazima mawe ziwe tatu ndio tupike ugali kuni Mguu mbili mkono mbili, vidole bado ni kumi Unavuka fence tunadigital migrate Tune in cheza kati you can’t cut me Shake me, ruka bladder Natema sana naskia kanjo wako rada Mistari excess, nafuatwa na mamistress Juu narun town kaa Kidesh Unataka slap, kam na Shebesh But simu nilipokea, ilibidi ninunue suti I mean si tulikuja baby shower miaka tu ya juzi Mama alimpenda lakini asubuhi hakuamka Na vile alituacha, mama hangetamka Alifunga ulimi four days, alitunda tumbo four days Alikonda aisee, uchungu wa mwana Alijua maana, aliombea manna From fluent akaanza kustammer After siku nne, mwana atazama Pastor alisoma stanza, kitabu ni ya kwanza In the beginning there was the word, then mwangaza Mama alijaribu kujikaza, ikafika part ya mchanga Kwa nini mtoto, na alikuwa tu mchanga Kwa nini