Mad Ice
Mad Ice - Malaika lyrics
Your rating:
(Intro) Uuwo uweeee... uwoo mama. Sema malaika... heya... nakupenda wee. (Chorus) Malaika nakupenda malaika Malaika nakupenda malaika (Verse 1) Nami nifanyeje Kijana mwenzio x 2 Furaha moyoni napo kutia machoni Si utani angel kwako niko hoi x 2 Nashindwa na mali mi sina wee Ningekuoa malaika x 2 (Chorus) Malaika nakupenda malaika Malaika nakupenda malaika x 2 (Verse 2) Kidege kukuwaza wee kidege Ohoo kidege kukuwaza wee kidege Usiku silali mawazo mengi darlin' Nawaza ningekua na hiyo mimali Nikakulipia mali nikawa nawe mwali Nadhani mambo mengi kwangu yange kua swari Nashindwa na mali mi sina wee Ningekuoa malaika x 2 (Chorus) Malaika nakupenda malaika Malaika nakupenda malaika x 2 (Verse 3) Pesa pesa zasumbua roho yangu Mi nasema pesa pesa... Zasumbua roho yangu Uzuri wako malaika Unanifanya nipagawe malaika Kila napokuona malaika... Nabaka nahangaika malaika wewe Ohoo Owuooh Malaika... Eeh nakupenda malaika Malaika... Ooh nakupenda malaika wewe Malaika... Heya nakupenda nakupenda wewe Malaika... nakupenda malaika Nakupenda wewe Nakupenda wewe Nakupenda wewe... til fade.