Leteipa the King
Leteipa the King - Waridi lyrics
About this lyric:
Waridi is a Swahili word meaning rose flower. Getting into content explanation,
Love is perfection and happiness, But The same sweet taste can be turned into pain, Regrets and suffocation. All this from a tiny element, Insecurities. When a Patner feels somehow less Leteipa the King has used the tittle Waridi to symbolize his lover. Such an attractive item at his desposal yet he feels insecure because of his economical status. This would make it easier for others to be able to take it from him. In the song, Leteipa the King explains to his lover how precious valuable she is to him, He expresses his gratitude's and appreciation for having her giving out extreme actions he is willing to take to ensure he doesn't loose her. He also explains the painful outcome of loosing her and urges her to stay .
The song was written and performed by Leteipa the King. The audio was produced by Big Daddy and the video directed by Martography studios.
#INTRO (Unanikomesha) Uhhhhhh (Unanikomesha) (Unanikomesha) Ni vampK (Unanikomesha) 254 (Big Daddy) (Unanikomesha) lalalala laaaaaaaaa #VERSE Ukidunga kamini, Gunia Gauni ama Dera , Bado we ni mashini Yeiyeeeh Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata maini Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi kwao Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao Hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao #HOOK Nitunze Kama mshumaa ama koroboi Ndo nisipoe, unipende Mimi.. Mhhh Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali doii Wasikutoe unitende Mimi, .. #CHORUS Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi) Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (Waridi) Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi) Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh (Unanikomesha) Nyumba magari havishindi thamani yako, (Unanikomesha) Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (Unanikomesha) Sukari asali havishindi utamu wako (Unanikomesha) Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu (Unanikomesha) (Unanikomesha) #VERSE Kuja ghetoni tupike, Ukaange nikionja, Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih Kisha stima tuzime, Tukule mziki kwa nguvu, mpaka majirani wakujee, iyeeeh Ulivyojaah Nika unakulaga ijumaa Ukinishika moyo unashikwa na kaswende nazubaa Unanifaa, yaani mi ndo Giza we ndo taa Ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh #HOOK Nitunze Kama mshumaa ama koroboi Ndo nisipoe, unipende Mimi, Mhhh Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali doi Wasikutoe unitende Mimi, .. #CHORUS Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi) Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (Waridi) Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi) Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh (Unanikomesha) Nyumba magari havishindi thamani yako, (Unanikomesha) Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (Unanikomesha) Sukari asali havishindi utamu wako (Unanikomesha) Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu (Unanikomesha) (Unanikomesha)