Leteipa the King

Leteipa the King - Tenga lyrics

Your rating:

#INTRO
Bibli Bam Bam Bam Bam .

#VERSE
Nilipokwona Jana, 
ukipita umevutia, 
Nilibaki nimeduwaaa
Umbo lako mamii, 
Linanipa kiungulia, 
Ungewa nguo ningekuvaaa
Nyuma una bonge la ndoo, 
mum shikamo, 
Napenda kucheki ukinyonga hiyo,..
Ukitembea chwani chwani Masoo
I need to know
Umetosheaje kwenye toja hiyo

#HOOK
Sura shepu na tabia,
 na nutritious ka Dania, 
Na ingewa sufuria
 Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia, 
Kitoweo kwa sinia, 
Ukinipa ntabugia, 
Kama komba mwiko

#CHORUS
(Tenga)
Wamlabez wamnyonyez,
 Wine Kama Sio yako umepewa
(Tenga)
Wine pande. Wine shiothee,
 Ka unahepa msako umelewa
(Tenga)
Usiwe na aibu, 
tingisha wapate kitu ya kupost Fb
(Tenga)
Sahau masaibu, 
Zikishika tufike gheto nikupe KiHB
(Tenga)
(Tenga)

#VERSE
Unavyosakata dansi
Mwili mpaka nafsi 
Zinakufa ganzi,
Kama nyasinyasi
Zanigwara Hadi nafurahi, Ooh nafurahi
Urefu wangu was farasi,
Nitakupa banzi
Tamu ka nanasi
Moto Kama basi
Ndefu Kama ngazi ukidai, ooh ujidai
Uko hot ka solar,.
Strong ka mollar
Soft ka rollar ,yaani conc ka collar
Calm ka baller
Expe ka dollar
Sick is Ebola
Wanakupenda ka Ocholla..

#HOOK
Sura shepu na tabia,
na nutritious ka Dania, 
Na ingewa sufuria 
Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia, 
Kitoweo kwa sinia, 
Ukinipa ntabugia, 
Kama komba mwiko

Chorus:
(Tenga)
Wamlabez wamnyonyez, 
Wine Kama Sio yako umepewa
(Tenga)
Wine pande. Wine shiothee,
 Ka unahepa msako umelewa
(Tenga)
Usiwe na aibu, 
tingisha wapate kitu ya kupost Fb
(Tenga)
 Sahau masaibu, 
zikishika tufike gheto nikupe KiHB
(Tenga)
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: Teipa

Composer: Leteipa the King

Publisher: Leteipa the King

Details:

Released in: 2020

Language: Swahili

Appearing on: Teipas tales (2022) , Teipas Tales (2022)

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found