Leteipa the King
Leteipa the King - Naila lyrics
Your rating:
#INTRO Mhhhhhhh Ni Vampk 254 Big Daddy.. #VERSE Siku hizi namea kitambi, penzi tamu unalonipa. Kama kukupenda ni dhambi, mbinguni kamwe sitofika. Unanifanya niwe chongo, kipenzi weeh, Siku hizi wengine siwaoni. Unaponigusa mgongo, sihemi babe, utamu hadi kisogoni. #HOOK Ukinibusu kwapani kijasho chanitoka, nahema na maskio (Aeeeeeh) Usiruhusu jirani waonje yangu soda, utanikondesha mwenzio #CHORUS I hope you know (Naila) You are my one and only girl (Naila) And I love you so much (Naila Anyoor) You are my ombitho (Naila) The words on every song (Naila) Na sikushei ngo' (Naila Anyoor) And I will sing waskie (Aeeeeeh) That you are my Queen wavimbiwe (Aeeeeeh) #VERSE Nitakupa unachotaka hata iwe uridhi wangu, nyumba shamba pengine. Na hizo pesa zikikata tutauza figo zangu, juu ntamea zingine. Kwako napata vinono, Mgandogando ngurunyi. Yeaaah. Yaani chapati madondo Avocado thufu NDI! I hope you know #HOOK Ukinibusu kwapani kijasho chanitoka, nahema na maskio (Aeeeeeh) Usiruhusu jirani waonje yangu soda, utanikondesha mwenzio #CHORUS I hope you know (Naila) You are my one and only girl (Naila) And I love you so much (Naila Anyoor) You are my ombitho (Naila) The words on every song (Naila) Na sikushei ngo' (Naila Anyoor) And I will sing waskie (Aeeeeeh) That you are my Queen wavimbiwe (Aeeeeeh)