Leteipa the King
Leteipa the King - Kizero lyrics
Your rating:
About this lyric:
Kizero is a shortened word from Swahili quote describing artist. "Msanii Kioo Cha jamii" which translates to An artist is a mirror of the community. The Zero is from the symbol O at the end of Kioo. In this peace. Leteipa the King has expressed pain felt by most upcoming artists in the world. False accusations, Hatred discouragements in the fact that music is considered a hobby and not a career in most places. It's a slow acoustic rnb piece with baritone vocals.
Composed and peformed by Leteipa the King
Audio: Big Daddy
#Leteipatheking #vampk254music #teipatales #teipaslomon #teipasingolio #teipalyrics #leteiping #vampk254 #vampk #vamp254 #leteipa #teipapptt
#VERSE Tufununu tumespread kwa Mitaa, Kwamba Leteipa siku hizi anaitwa VampK Sijui Ni kun'gu ama Ni Kichaa Soo yule tulimjua kipindi akiwa class eight Na Kama rungu anatembea Na guitar, Ameacha Kuimba Choir sikuhizi anaimba mapenzi, Na kitu moja chenye Nina ihakika, Akimaliza Mwaka mmoja mniite mshenzi Maulana tenda Jambo, Wanangoja nifail waniuse Kama example, Ona tulikaonya kitamboo, Kamekataa sa kameshikwa na mascundles, Na kama bado mi Ni wako, tafadhali nifungulie milango, Wanipende Kama kitambo, Ngoma zangu ziskike Kenya mpaka N'gambo #HOOK They said I messed up her sister, Nikamfanya ahepe home, I acted like a evil teacher, Nikafunza brother yake kuchoma ndom, Wasn't it for me and my evil pictures, Moto wa jirani angepeform, Kuku zenu tafadhali Ficha, Atazigeuza zikuwe form #CHORUS (Am still me) Sunday tukienda Sunday School saa Tisa kuwahi wrestling (Am still me) Raima tukila mcheleku, Gari za wire mpaka battery (Am still me) mnaniita msanii, Kioo Cha jamii (Am still me) mkimaanisha msanii, Kizero Cha jamii #VERSE Kanajifanya sharobaro Kila time Ni ming'aro Kusumbua akina Caro, Kubrag mitani na miado za maparo, Wazazi waliwaste Karo Kusomesha huyo mtaro Hapo walitupa mbao heri wangebuy maziwa wakapike chai kwao.. Ni wangap tumewaona wasanii Wameishia kwa mihadarati.. Kanadhani kashakuwa katalii Kashaanza kuvuta bangi #HOOK They said I messed up her sister, Nikamfanya ahepe home, I acted like a evil teacher, Nikafunza brother yake kuchoma ndom, Wasn't it for me and my evil pictures, Moto wa jirani angepeform, Kuku zenu tafadhali Ficha, Atazigeuza zikuwe form #CHORUS: (Am still me) Sunday tukienda Sunday School saa Tisa kuwahi wrestling (Am still me) Raima tukila mcheleku, Gari za wire mpaka battery (Am still me) mnaniita msanii, Kioo Cha jamii (Am still me) mkimaanisha msanii, Kizero Cha Jamii