Lady Jay Dee

Lady Jay Dee - Historia lyrics

Your rating:
Unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika

Muda huo uliuchezea, pesa hizo ulizichezea

kabla hata ya uzee haujaja walishasema aahh alikuaga

Muda huo muda ulikwepo, muda huo uliopewa

hela nazo zilaikuwepo hela ulizo barikiwa,

maisha mazuri, nyumba nzuri gari nzuri na nini na nini.

muda huo uliuchezea, pesa hizo ulizichezea

kabla hata ya uzee haujaja walishasema aahh alikuaga

Unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika

(beat)

Tena hata, hata wenzio, ulokua nao jana

hata nao wanakusema mbali na kukucheka

umegeuka stori, umekua mfano, umegeuka tukio.sio kivutio

Muda huo uliuchezea, pesa nazo ulizichezea

kabla hata ya kifo chako. walishasema aahh alikuaga

Unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika

(beat)

Sitaki leo kuwa historia labda kesho niwe historia

Nataka niache historia itakapofika kuwa historia

(beat)

Unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika...

(beat)

Unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika...

End.
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: ?

Composer: ?

Publisher: ?

Details:

Language: Swahili

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found