Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Nitakukumbuka lyrics

Your rating:

Verse 1
Ooooh
Ah
Ale tate tate
Ah
Kinachoniuma ni mazoea
Kunifanya nikeshe usiku na mchana
Ah
Au mate au mate
Ah
Mbele na nyuma nikingojea
Huenda ikabadili mfupa kuwa nyama
Ooh siri yangu siri
Bado natunza iwe yangu
Siri yangu
Japo kuwa natamani kusema
Wachache
Bado naisubiri
Mola hajanipa zamu yangu
Aah
Huenda utanikumbuka siku unifuate
Ah
Moyo kama nguo ukausasangua
Kwa moshoga zako
Ukaacha funguo
Kwa kujishebetua ukaenda zako
Moyo kama nguo ukausasangua
Kwa moshoga zako
Ukaacha funguo
Kwa kujishebetua ukaenda zako

Chorus
Aah
Rudi mama eeh
Nakukumbuka
Nakukumbuka eeh
Nakukumbuka
Mwenzako silali eeh
(x4)

Verse 2
Ah
Niacheni mie
Kinachoniuma ni mazoea
Mie
Siwezi kuficha nimekuzoea
Mie
Kinachoniuma ni mazoea
Mie
Siwezi kuficha nimekuzoea
Hali yangu si shwari
Mda wowote huenda naja (huenda naja)
Fanya uje na daktari
Tena ikibidi waganga (waganga)
Na matafuta hodari
Kutoka binga na tanga
Wale nguli machachali
Wapiga ndele kwa vanga
Ooh ooh
Hizi furaha za duniaa
Mamaaa
Ziko tangu vile iliaa
Mamaaa
Njoo nakusubiriaa
Mamaaa
Ona hata nakuimbiaa
Mwenzako silali

Chorus
Aah
Rudi mama eeh
Nakukumbuka
Nakukumbuka eeh
Nakukumbuka
Mwenzako silali eeh
(x4)
(x2)
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: ?

Composer: ?

Publisher: ?

Details:

Language: Swahili

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found