Akoth (Akoth Jumadi)

Akoth (Akoth Jumadi) - Nakushukuru lyrics

Your rating:
Mimi sina mengi ya kukuambia Baba, 
  Wala sina chochote cha kukupa leo,
  Ila nimekuja mbele zako sasa,
  Kutoa shukrani zangu kwako sasa,
  Nakushukuru baba mwenyezi Mungu
  Asante sana Mungu wangu asante
  Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
  Nakushukuru Mungu wangu wastahili 
  Umetendaa majabu Baba yangu,
  Siwezi kuyaeleza yote leo hi,
  Kazi ya mikono yako ni kuu,
  Pokea sifa na shukrani zangu Baba,
  Nakushukuru Baba Mwenyezi Mungu
  Asante sana Mungu wangu asante
  Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
  Nakushukuru Mungu wangu wastahili
  Bingu na nchi na yote yaliyomo ni yako,
  Dhahabu na fedha zote ni zako Baba,
  Hata ingawa ninakupa sadaka zangu,
  Haziwezi kuya zidisha yale umenipa,
 
  Nakushukuru baba Mwenyezi Mungu
  Asante sana Mungu wangu asante
  Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
  Nakushukuru Mungu wangu wastahili
  Wachaa sifa na shukrani rafiki yangu,
  Iwe dhabihu yako kwa Mwenyezi Mungu,
  Mungu haitaji mambo mengi toka kwako,
  Ila sifa na shukrani Kila mara,
  Nakushukuru Baba Mwenyezi Mungu
  Asante sana Mungu wangu asante
  Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
  Nakushukuru Mungu wangu wastahili
  Mwenyezi Mungu, Bwana Ninakushukuru
  Muumba wangu, Bwana Ninakushukuru 
  Umefanya mengi yoyo oo, Bwana Ninakushukuru 
  Mambo ya ajabu Baba, Bwana Ninakushukuru 
  Mimi siwezi kamwe ee, Bwana Ninakushukuru 
  Kuyaeleza yote leo, Bwana Ninakushukuru 
  Naja mbele zako sasa, Bwana Ninakushukuru 
  Kutoa shukrani zangu kwako oo,Bwana Ninakushukuru 
 Shukuruu Bwana mwenzangu
 Barikii Bwana rafiki
 Chezea Bwana kidogo
 Pigia Bwana makofii
 Pigia Bwana nderemo
 Imbia Bwana Wimbo mpya lala lala lala laaa
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: ?

Composer: ?

Publisher: ?

Details:

Language: Swahili

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found