Akoth (Akoth Jumadi)

Akoth (Akoth Jumadi) - Kenya Naipenda lyrics

Your rating:
Kenya naipenda nchi yangu,
  Kenya najivunia nchi yangu,
  Kenya nafurahia nchi yangu,
  Kenya nashangilia nchi yangu,
  Kenya naipenda nchi yangu
  Kenya ina mali tele tele
  Kenya nashangilia nchi yangu
  Kenya yapendeza kweli kweli iii
  Nashukuru mimii ni mkenya
  Kenya ina mengi yafurahisha,
  Milima mabonde wanyama wa porini,
  Makabila arobaini na mawili,
  Wakenya wanapendeza kote kote,
 
Wajaluo wakalenjini wakikuyu
  Wamasaii waluhya na wakamba 
  Wamijikenda wameru waembu na wagusii
  Nawengine wakenya wote wapendeza aaa
  Najivunia kuwa mkenya
  Wageni karibuni Kenya yetu,
  Jambo sana Kenya hakuna matata,
  Kuna vitu vingi vya kufurahisha,
  Kuna mahali pengi pa kutembelea,
  Nairobi Masaii Mara Amboseli
  Aberdare Samburu Nakuru Naivasha
  Mount Kenya Shimba Hills na Tsavo Park
  Amboseli Mombasa Kisumu na Malindi iii
  Nafurahia kuwa Mkenya
  Our visitors welcome to Kenya,
  Kenya is a very beautiful country,
  Kenyans are very hospitable people,
  Enjoy yourselves and have a good time,
  Mungu ibarikii Kenya yetu,
  Mungu mbarikii rahisi wetu,
  Mungu wabariki viongozi wetu,
  Mungu wabariki wakenya wote,
  Mungu wabariki wageni wetu,
  Mungu itawale Kenya yetu uuu
Get this song at:
bol.com
amazon.com

Copyrights:

Author: ?

Composer: ?

Publisher: ?

Details:

Language: Swahili

Share your thoughts

This form is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

0 Comments found